Marenga Animal Feeds

Marenga Animal Feeds ๐Ÿ“Wazalishaji wa Vyakula vya Mifugo
๐Ÿ’ŠWauzaji wa Chanjo na Madawa ya Mifugo
๐ŸŒฝWazalishaji wa Unga Bora wa Sembe

Heri ya siku ya Nane Nane
08/08/2026

Heri ya siku ya Nane Nane

Habari njema kwa wafugaji! Bio - Plus sasa inapatikana Marenga Vet Centre.Karibu ujipatie bidhaa bora za afya ya mifugo ...
27/07/2026

Habari njema kwa wafugaji!

Bio - Plus sasa inapatikana Marenga Vet Centre.
Karibu ujipatie bidhaa bora za afya ya mifugo pamoja na ushauri wa wataalamu.

๐Ÿ“ Kiboriloni, Moshi 0758828750

24/07/2026

Mifugo yenye afya ni faida yako!
Uwekezaji wako kwenye mifugo unastahili huduma bora na za kitaalamu. Karibu Marenga Vet Centre, tunakupa suluhisho sahihi kuanzia dawa bora, chanjo, madini, vyakula pamoja na ushauri wa kitaalamu!
Tupo Moshi, Kiboriloni

Heri ya Saba Saba! Tunathamini juhudi za kila mfugaji katika kuendeleza ukuaji wa uchumi binafsi, familia na taifa kwa u...
07/07/2026

Heri ya Saba Saba!
Tunathamini juhudi za kila mfugaji katika kuendeleza ukuaji wa uchumi binafsi, familia na taifa kwa ujumla! Marenga Animal Feeds tupo pamoja kwenye kila hatua! Chagua Marenga Animal Feeds kwa lishe bora na matokeo bora kwa mifugo yako.

๐Ÿ“ Kiboriloni, Moshi
๐Ÿ“ž 0758828750 | 0743408350

๐Ÿ“ Kabuku, Zamu Yenu Imefika!Popote ulipo, Marenga Animal Feeds iko karibu nawe.Kwa ukuaji wa haraka, afya bora na matoke...
27/06/2026

๐Ÿ“ Kabuku, Zamu Yenu Imefika!

Popote ulipo, Marenga Animal Feeds iko karibu nawe.

Kwa ukuaji wa haraka, afya bora na matokeo yenye faida, chagua vyakula vya nguruwe vinavyoaminika:
โœ… Pig Starter Pellet
โœ… Pig Grower Pellet
โœ… Pig Finisher Pellet

Usikubali mifugo yako ikose lishe bora. Wasiliana nasi leo, tukuhudumie popote ulipo.

๐Ÿ“ž 0743 408 350

Marenga Animal Feeds โ€“ Chakula Bora, Matokeo Bora.

๐ŸŒพ Kila Kijiko Kina Lishe!๐Ÿ’šUnga wetu wa lishe umeandaliwa kwa ubora ili kukupa mlo wenye virutubisho muhimu kwa familia y...
26/06/2026

๐ŸŒพ Kila Kijiko Kina Lishe!๐Ÿ’š

Unga wetu wa lishe umeandaliwa kwa ubora ili kukupa mlo wenye virutubisho muhimu kwa familia yako. Ni chaguo sahihi kwa wanaojali afya, nguvu na ustawi kila siku.

โœ… Bora kwa familia nzima
โœ… Ubora unaoaminika
โœ… Ladha ya asili

๐Ÿ“ Tunapatikana Kiboriloni, Moshi.

๐Ÿ“ž Wasiliana nasi:
0758 828 750 au 0743 408 350**

Karibu upate unga wa lishe bora leo!

๐Ÿ„ Mifugo yenye afya ndiyo faida ya mfugaji.Usisubiri ugonjwa utokee. Pata madawa na chanjo bora za mifugo leo.๐Ÿ’‰ Chanjo m...
14/06/2026

๐Ÿ„ Mifugo yenye afya ndiyo faida ya mfugaji.

Usisubiri ugonjwa utokee. Pata madawa na chanjo bora za mifugo leo.

๐Ÿ’‰ Chanjo mbalimbali
๐Ÿ’Š Madawa ya mifugo
๐Ÿ‘จโ€โš•๏ธ Ushauri wa kitaalamu

๐Ÿ“ Marenga Vet Centre, Kiboriloni โ€“ Moshi
๐Ÿ“ž 0758828750 | 0743408350

๐Ÿ„ Mifugo yako inakula, lakini je, inapata nguvu za kutosha kuzalisha?Molasses ni chanzo kizuri cha nishati kinachosaidia...
13/06/2026

๐Ÿ„ Mifugo yako inakula, lakini je, inapata nguvu za kutosha kuzalisha?

Molasses ni chanzo kizuri cha nishati kinachosaidia kuongeza ulaji wa chakula na kuboresha matumizi ya virutubisho kwa mifugo.

โœ… Ladha inayopendwa na mifugo
โœ… Chanzo kizuri cha nishati
โœ… Inafaa kwa ng'ombe, mbuzi, kuku na kondoo
Usisubiri kuona uzalishaji unashuka ndipo uchukue hatua.
5kg(Sado) Tsh 10,000 na 20kg(Dumu) 22,000

๐Ÿ“ Marenga Vet Centre, Kiboriloni โ€“ Moshi
๐Ÿ“ž 0758828750 | 0743408350

๐Ÿฅ› Maziwa machache yanaweza kuwa matokeo ya lishe isiyotosheleza.Umetumia aina nyingi za mineral lick, lakini hii umejari...
12/06/2026

๐Ÿฅ› Maziwa machache yanaweza kuwa matokeo ya lishe isiyotosheleza.

Umetumia aina nyingi za mineral lick, lakini hii umejaribu?

๐Ÿ„ Powerlick husaidia kuboresha lishe ya ng'ombe wa maziwa ili kusaidia uzalishaji bora wa maziwa na ukuaji mzuri wa ndama.

๐Ÿ“ฆ Inapatikana kwa ujazo wa:
โœ… 5kg Tsh 11,000
โœ… 10kg Tsh 19,000
โœ… 20kg Tsh 32,000

Wafugaji wengi wameijaribu, wameona matokeo, na wanaendelea kuiamini.

๐Ÿ“ Marenga Vet Centre, Kiboriloni โ€“ Moshi
๐Ÿ“ž 0758828750 | 0743408350

Makosa haya yanawagharimu wafugaji wengi bila kujua!Pullets wanahitaji lishe maalum kwa ukuaji bora na maandalizi ya uza...
11/06/2026

Makosa haya yanawagharimu wafugaji wengi bila kujua!

Pullets wanahitaji lishe maalum kwa ukuaji bora na maandalizi ya uzazi. Usiharakishe kuwapa Layers mapema.

๐Ÿ“ž Piga simu: 0758828750 / 0743408350
๐Ÿ“ Kiboriloni, Moshi

Address

Old Moshi

Opening Hours

Monday 07:30 - 17:00
Tuesday 07:30 - 17:00
Wednesday 07:30 - 17:00
Thursday 07:30 - 17:00
Friday 07:30 - 17:00
Saturday 08:00 - 17:00

Telephone

+255758828750

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Marenga Animal Feeds posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Marenga Animal Feeds:

Shortcuts

Share