Katavi Veterinary Center

Katavi Veterinary Center Katavi veterinary center. Nikituo cha ushauri,tiba,kuuza dawa,chanjo za mifugo. Tunapatikana mkoa wa

22/12/2021
07/01/2021

KADI (UKUAJI NA MAENDELEO YA NDAMA)

K**a ilivyo kwa watoto wadogo wanaoenda Kiliniki na kupewa kadi ili kufuatiliwa maendeleo yao. Ukuaji wa ndama unaweza kufuatiliwa kwa kutumia kadi.

MiL-Animal Nutrition Innovation Center tunakuletea kadi mahususi itakayo kusaidia kufuatilia ukuaji na maendeleo ya ndama wako. Katika kadi hii uzito wa ndama hulimganishwa na umri wake. Kadi hii itakusaidia kutambua hali ya ndama wako. Pata kadi hii kwa Tsh 3,000/=

TUNAPATIKANA ARUSHA - KARIBU TUKUHUDUMIE
SImu: +255 783 294 487

07/01/2021
07/01/2021

TUNATENGENEZA NA KUUZA MILK ATMs/ ATM ZA MAZIWA

Jipatie Milk ATM Bora na Zenye Kuzingatia Usalama wa Mlaji.

Pamoja na Milk ATM utapatiwa ushauri wa kitaalamu wa jinsi ya kuendesha biashara ya maziwa kwa kutumia mtambo huu.

Tunapatikana Arusha.

Mawasiliano:
Simu - +255 783 294 487/ +255 713 004 120

07/01/2021

Address

S, L, P 469 Mpanda
Mpanda
CENTER

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Katavi Veterinary Center posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Katavi Veterinary Center:

Share

Category