02/06/2026
Msimu wa mavuno umefika!
Kulinda jasho lako kunahitaji vitu viwili vikuu: mifuko imara na usafiri wa uhakika. Kuanzia kufuma hadi kukata, Harsho Packaging tunakuletea mifuko ya viwango vya juu inayolinda mazao yako yasiharibike.
Mavuno yakishajaa, Harsho Group inahakikisha usafiri wa uhakika na salama hadi sokoni kwa muda mote! Usiruhusu hasara isiyo ya lazima msimu huu.
Wasiliana nasi sasa hivi kupata suluhisho la uhakika:
๐ +255 713 287 409 (Harsho Packaging)
๐ +255 768 422 346 (Moshi/Hai)