Agribusness ideas

Agribusness ideas The agrculture and livestock producion techniques

04/08/2016

Unaweza kuuliza swali lolote linalohusiana na magonjwa ya kuku, ngombe na mbuzi, ili upate ufafanuzi wa kina utakaokusaidia katika kutibu na kuzuia au kukinga, karibu

04/08/2016

Magonjwa ya kuku yaletayo hasara kwa mfugaji, MDONDE, ndui, homa ya matumbo, na kuhara damu.

30/07/2016

Ndugu zangu Watanzania kuna ufugaji wa aina mbalimbali katika jamii yetu, lakini wengi wamekuwa wakikata tamaa, kudharau, kutoa maneno yasiyo na utafiti juu ya ufugaji wa kuku, tafuteni ukweli halisi. Tuone au kututafuta kwa mawasiliano 0686490964

30/07/2016

Nikimtolea mfano kijana EGBERT, kwamba chakula anachomlisha mbwa chakula anachomlisha mbwa asiyelinda chenye thamani ya sh alfu kumi kwa wiki si bora angefuga kuku watano wa kienyeji?

Address

P. O. BOX 603 Morogoro
Morogoro

Telephone

0686490964

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Agribusness ideas posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category