dr.kowero_vet

dr.kowero_vet Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from dr.kowero_vet, Veterinarian, Kibamba, Makabe.

Contact us through +255766480394
28/11/2022

Contact us through +255766480394

Kwa huduma za nyumbani (mobile services) zinapatikana ikiwemo:Vaccination (chanjo), deworming, grooming, emergency medic...
28/11/2022

Kwa huduma za nyumbani (mobile services) zinapatikana ikiwemo:
Vaccination (chanjo), deworming, grooming, emergency medical treatments, consultation and other veterinary services.

Wasiliana nasi kupitia
☎️ +255766480394

Skin rashes huwa zinasababishwa na skin irritation mnyama anajikuna sana. Hii inatokana na allergy ya chakula, dawa au s...
26/11/2022

Skin rashes huwa zinasababishwa na skin irritation mnyama anajikuna sana. Hii inatokana na allergy ya chakula, dawa au shampoo anayoogea. Ukiona mbwa wako anakuwa anasumbuliwa na anajikuna sana wasiliana na daktari wa mifugo ili aweze kuhudumiwa mapema.

Kwa mawasiliano wasiliana nasi kupitia:
0766480384

Indication of new castle disease New castle disease ama kwa kiswahili ugonjwa wa kideli ni ugonjwa unaosumbua sana mifug...
19/11/2022

Indication of new castle disease
New castle disease ama kwa kiswahili ugonjwa wa kideli ni ugonjwa unaosumbua sana mifugo aina ya ndege hasa kwa wanaofuga kuku dalili zake ni kuvujia kwa damu kwenye utumbo proventicurous.

Ili kuepukana na ugonjwa huu wafugaji wengi haswa wa kuku wanashauriwa kuwapa kuku wao chanjo ya new castle disease.

Kwa ushauri na huduma zetu za mifugo wasiliana nasi kupitia: 0766480394

Address

Kibamba
Makabe

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when dr.kowero_vet posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category