Agriculture Equipments and Pestisides

Agriculture Equipments and Pestisides Kwa Tenda, Order toka Mashirika, Serikali na watu Binafsi ni Suruhisho la kudumu Kigoma,karibu upate MKOMBOZI WA WAKULIMA

Lakini pia booster hii Hutumika K**a Pesticide na tunashauri mkulima anapoitumia asichanganye na sumu yoyote na hapaswi ...
01/08/2022

Lakini pia booster hii Hutumika K**a Pesticide na tunashauri mkulima anapoitumia asichanganye na sumu yoyote na hapaswi kuzidisha Ml 60 ,Kwa Lita 20 za maji.
Imetengenezwa kwa kuwekewa aina ya bacteria wanaoweza kushambulia mayai ya wadudu yanayotagwa kwenye majani ikiwemo na mayai ya kanitangaze.
Lakini pia huchochea maua na kuzuia maua kudodoka kwani imebatanishwa na Cabedaizim organelle.
Ikipingwa kwenye mahindi machanga huzuia Moja kwa moja wadudu wanaoshambuliaahidi.

Itakusaidia sana k**a kiua kuvu kizuri na kiua dudu,

Inaongeza wingi wa Maua, na kulinda matunda.

Karibu sana Hutajutia kutumia Booster Yetu,

Tazama hapo chini kazi yake kwenye Mashamba Darasa , hatujawahi piga kiua kuvu wa kiua dudu tangu ianze itumike.

Kwa Mahitaji zaidi na order piga namba

+255757494890/ 0625952702,

E mail: [email protected].

Karibu sana SEMA G AGROTECH kwa huduma nzuri na bora.

Hiyo mbegu ipo sokoni na uotaji wake ni 97% karbu sana, kwa mawasiliano piga 0757494890/0782914347
29/11/2016

Hiyo mbegu ipo sokoni na uotaji wake ni 97% karbu sana, kwa mawasiliano piga

0757494890/0782914347

23/11/2016

Kwa kufata njia za kisasa katika Kulima najua tutatoka,mvua ndogo haitokuwa na madhala katika uzalishaji wetu, Baltona najua tutakupa mbinu sahihi katika Kilimo cha umwagiliaji,karbu sana nitafte kwa 0757494890 under drip irrigation we will feed the World says Eliud Zawadi Semagogwa

Agriculture is a business
09/05/2016

Agriculture is a business

Well come for good service
23/11/2015

Well come for good service

Our product
23/11/2015

Our product

We mean what we say
23/11/2015

We mean what we say

16/03/2015

With good heart and promising to give good service we are now going to selve the farmers in all Technical and material support on agriculture of Kigoma Dioces alocated in 22 parishes with at reast 150farmers per Parish, may God provide us power in Selving them.

Address

Kigoma Mji Mwema
Kigoma
BOX158,KAKONKO

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Agriculture Equipments and Pestisides posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Agriculture Equipments and Pestisides:

Share

Category