Mwarabu Njiwa

Mwarabu Njiwa Jenga banda la vyumba la urefu wa 2ft na upana wa 2.5ft. Njiwa huishi miaka 12, huanza kutaga miezi 6 toka kuzaliwa na wastan kila mwezi. KARIBU TUKUHUDUMIE

Choroko, ngano, mtama, kunde, karanga na mahindi ni miongoni mwa vyakula vya njiwa.

26/05/2026

Njiwa tausi weupe pendwa.
150000 tsh
Avaliable, Tandika, dar es salaam.

21/05/2026

Mali hizo

20/05/2026

Hawa wana raha yake 😍

16/05/2026

Nimegundua kumbe zile uniform zetu za secondary zilianzia hapa πŸ€”

Wakati mwengine hua kuna story kwenye mabanda yetu.! 🐦πŸ”₯Big feet, BIG DEAL. πŸ˜‚πŸ†Hao njiwa ukiwahitaji wapo. Mwenye nyeusi d...
15/05/2026

Wakati mwengine hua kuna story kwenye mabanda yetu.! 🐦πŸ”₯

Big feet, BIG DEAL. πŸ˜‚πŸ†

Hao njiwa ukiwahitaji wapo. Mwenye nyeusi dume, nyekundu dume. Nunua wakufurahishe 😁

14/05/2026

Tulianza na nafasi tupu… leo ni makazi rasmi ya mabingwa πŸ•ŠοΈπŸ 

11/05/2026

πŸ•Š UPENDO WA NJIWA NI FUNZO KWA WAFUGAJI ❀️

Katika ulimwengu wa njiwa, malezi ni ushirikiano wa kweli.
Dume na jike hushirikiana kwa upendo kuhakikisha watoto wao wanakuwa salama na wenye afya. 🐣

✨ Dume hutamia mayai kuanzia saa 5 asubuhi mpaka saa 11 jioni,
kisha jike humalizia muda uliobaki kwa uangalifu mkubwa.

Na si kutamia tu…
Wakati wa kulea watoto, dume mara nyingi hulisha zaidi na kusimama k**a mlinzi wa familia. πŸ•ŠοΈπŸ”₯

Hii ndiyo sababu ufugaji wa njiwa unaonyesha:
🀝 Ushirikiano
❀️ Upendo wa familia
🌱 Malezi yenye kujitoa

Ukianza kufuga njiwa, hauanzi tu biashara…
Unaingia kwenye dunia yenye mafunzo ya subira, upendo na mafanikio. ✨

🐦 Karibu kwenye safari ya ufugaji wa njiwa.
Kidogo ulicho nacho kinaweza kuwa mwanzo wa mafanikio makubwa.

03/05/2026

Leo tunaandaa banda jipya la njiwa kwa kiwango kingine πŸ”₯

Usafi, nafasi na mpangilio bora = njiwa wenye afya na uzalishaji mkubwa.

Ukiona hivi, ujue kuna project kubwa inakuja πŸ‘€
Follow uone matokeo yake!

Kumbuka: hatua moja leo ni bora kuliko kusubiri kesho.

29/04/2026

Wataalamu hii tunaitaje, mbona k**a kashtukia tunam zoom 😁

27/04/2026

Wengine wanaona tukio.
Sisi tunaona faida.

Hapa ndipo kizazi cha thamani kinapoanzia.

Address

Kawe
Kawi

Telephone

+255652177782

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwarabu Njiwa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category