23/04/2018
TDTP tulisimamisha shughuli zetu kwa Muda kidogo kutokana na changamoto mbalimbali k**a wataalam ( Professional dog handlers) na eneo LA kutosha kufanyia Shughuli zetu. Ila kwa sasa changamoto hizo zimeshatatuliwa na tuna wataalamu wa kutosha na eneo la kutosha kufanyia shughuli zetu. Hivyo tunawakaribisha sana. Kwa sasa tupo Iringa mjini Kihesa. Au unaweza kutupigia kwa namba : 0753073434