Tanzania City Farmers

Tanzania City Farmers Helping Tanzanians living in urban areas to participate fully in agricultural activities. Call us: 0758811120 We also bridge the gap between farmers and vets.

Tanzania City Farmers' main activity is to provide information about farming to Tanzanians living in cities. We also provide farm management services to farmers living in town. We provide market prices about various crop products and help farmers to find markets for their produce. We guide farmers where to get the best agricultural inputs.

Habari Njema kwa wakulima wa parachichi. Tunatafuta wakulima wenye parachichi zilizo kaushwa (Dried Avocados). Tutumie p...
12/01/2026

Habari Njema kwa wakulima wa parachichi. Tunatafuta wakulima wenye parachichi zilizo kaushwa (Dried Avocados). Tutumie picha za parachichi zako zilizo kaushwa, bei unayouzia na namba zako za simu.

26/12/2025

For individuals seeking to obtain title deeds for their plots or farmland, we are pleased to offer our support.

We provide professional land surveying services for plots and farmland at highly affordable rates.

In addition, our services include farm clearing, land preparation, and professional fencing solutions tailored to your needs.

For more information or to request our services, please contact us

Kwa wanaohitaji Funds kwa biashara zao za kilimo. Jaza forms hizi kisha zitume kwenda kwa email yao hapo.
04/08/2024

Kwa wanaohitaji Funds kwa biashara zao za kilimo. Jaza forms hizi kisha zitume kwenda kwa email yao hapo.

04/08/2024
31/08/2017

Habari njema kwa wakulima wa Ufuta,choroko,mahindi na karanga. Kwa watakao hitaji kuongeza faida kwa kuuza mazao nje ya nchi watume picha ya mazao yao na pia tupate sample halisi ya mazao yao kwajili ya ukaguzi kisha tutawapa maelezo zaidi ya kufanya. Tuandikie kupitia email yetu [email protected]. Mobile: 0758811120.

Habari njema kwa wakulima wa N**i. Tunasoko zuri la N**i mbatata. K**a mkulima unayejishughulisha na kilimo cha n**i was...
20/12/2016

Habari njema kwa wakulima wa N**i. Tunasoko zuri la N**i mbatata. K**a mkulima unayejishughulisha na kilimo cha n**i wasiliana nasi kwa maelekezo zaidi. Tuandikie kupitia barua pepe [email protected] au wasiliana nasi kupitia simu namba 0758811120.

Tunapo karibia kumaliza mwaka nivizuri tukatafakari nichangamoto zipi kubwa tulizokutana nazo katika mwaka huu ili Tanza...
19/12/2016

Tunapo karibia kumaliza mwaka nivizuri tukatafakari nichangamoto zipi kubwa tulizokutana nazo katika mwaka huu ili Tanzania city farmers tuweze kutafuta namna ya kutatua matatizo hayo. je tatizo ni yapi kati ya haya ?
1. Masoko kwa mazao yako.
2. Ardhi na mahala pakufanyia shughuli za kilimo.
3. Ujuzi wa kutunza mazao / Mifugo.
4. Sababu nyinginezo ( Ainisha hapo chini)

11/10/2016

Je, Wewe ni mkulima wa korosho ? Tunanunua korosho iwe katika vigezo vifuatavyo:
-Outturn: 46lbs Min per kg 80 Kg Bag.
-Nut Count : 160 to 185 Counts
-Moisture : below 8%.
-Defective: Below 8%
-Foreign Matter: 1 %

Tunahitaji 1,000 - 3,000 Metric tons / year.

Tuandikie kupitia Email yetu tuambie bei yako sasa:
Mwisho wa kutuma Quotation yako ni Tarehe 14-10-2016 : [email protected]

Je,Unatafuta soko la uhakika la tangawizi. Tanzania city farmers ipo kwaajiliyako. K**a wewe ni mkulima na una Tangawizi...
16/05/2016

Je,Unatafuta soko la uhakika la tangawizi. Tanzania city farmers ipo kwaajiliyako. K**a wewe ni mkulima na una Tangawizi iliyokaushwa na unatafuta soko la uhakika la mazao yako. Tupo kwaajili yako. Tuandikie kupitia [email protected]

Tanzania city Farmers inatafuta wazalishaji wa zao la Tangawizi kwa sasa. K**a wewe ni mzalishaji. Tuandikie kupitia bar...
11/05/2016

Tanzania city Farmers inatafuta wazalishaji wa zao la Tangawizi kwa sasa. K**a wewe ni mzalishaji. Tuandikie kupitia barua pepe yetu [email protected] unazalisha kiasi gani na upo mkoa gani.

Ni wakati wako wa kuwa nauhakika wa soko la Tangawizi. Tuandikie kupitia Tanzaniacityfarmers@gmail.com. Tuambie lini una...
08/05/2016

Ni wakati wako wa kuwa nauhakika wa soko la Tangawizi. Tuandikie kupitia [email protected]. Tuambie lini unategemea kuvuna mazao yako na ni kwa kiasi gani? Na kwa mwaka unavuna mara ngapi ukitaja pia na miezi ya mavuno.

Address

Dar Es Salam
54084

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania City Farmers posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Tanzania City Farmers:

Share