Wananchi Vet Center

Wananchi Vet Center Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Wananchi Vet Center, Veterinarian, Kigamboni, Dar es Salaam.

VET CENTER

=}TUNATOA HUDUMA ZA MIFUGO;
CHANJO, MATIBABU PAMOJA NA USHAURI.

🐔 TUNATOA ELIMU YA UFUGAJI & USIMAMIZI WA MIRADI YA UFUGAJI

📍 KIGAMBONI

☎️ 0652-31-22-36

17/07/2025

Pet grooming hair clipper
Mashine ya Kunyolea Mbwa
Inapatikana

☎️ 0652-31-22-36

Epuka changamoto za kutumia mkaa wakati wa kulea Vifaranga wako kwa kutumia Gas heater Zinapatikana Wananchi Vet Center ...
13/02/2025

Epuka changamoto za kutumia mkaa wakati wa kulea Vifaranga wako kwa kutumia Gas heater
Zinapatikana Wananchi Vet Center Kwa Bei Tsh 270,000/-

Tunapatikana
Kigamboni
☎️0652-31-22-36

12/02/2025

Je Unafahamu kuwa Unaweza kupunguza changamoto za Magonjwa kwenye kuku wako kwa kutumia mifumo ya kisasa ya maji

Karibu Wananchi Vet Center ujipatie Cup ni**le na vifaa vingine vya kuku Kwa Bei nzuri

Tunapatikana Kigamboni (Dar es salaam)
☎️0652312236

11/02/2025

Changamoto ya Magonjwa mengi yanayosababisha hasara kubwa kwenye ufugaji wa kuku yanatokana na maji
Badilisha mfumo wako wa maji kwa kuwapa kuku wako maji masafi Ili uepukane na hasara hizi

Karibu Wananchi Vet Center
📍 Kigamboni
☎️0652 312 236

30/09/2024

Karibu Kwa huduma za Wanayama
tunapatikana Mnadani Roundabout, Kigamboni

☎️0652312236

Sekta ya mifugo ni miongoni mwa sekta zilizoajiri watanzania wengiKwa kutambua hili Wananchi Vet Center tunawatakia Heri...
01/05/2024

Sekta ya mifugo ni miongoni mwa sekta zilizoajiri watanzania wengi
Kwa kutambua hili Wananchi Vet Center tunawatakia Heri ya siku ya Wafanyakazi(Meimos) wafugaji wote

Habari ndugu wateja wetuHita za gesi zinapatikana ofisini kwetu Karibu ututembele ili ujipatie kwa Bei ya punguzoMawasil...
29/04/2024

Habari ndugu wateja wetu
Hita za gesi zinapatikana ofisini kwetu
Karibu ututembele ili ujipatie kwa Bei ya punguzo

Mawasiliano:
065231236
0710636436

26/04/2024

Kwa mahitaji ya vyakula bora vya mbwa na paka,,fika ofisini kwetu ujipatie vyakula bora vya makampuni mbalimbali..Karibuni sana..

K**a unasumbuliwa na wadudu mbalimbali nyumbani,shambani au ofisini kwako, basi usisite kutupigia simu Kwa huduma ya fur...
29/03/2024

K**a unasumbuliwa na wadudu mbalimbali nyumbani,shambani au ofisini kwako, basi usisite kutupigia simu Kwa huduma ya furmigation. Gharama zetu ni nafuu sana.Tupigie kwa namba 0652312236/0714414144..Karibuni sana..

24/03/2024

Je unajua yanayojiri katika ulimwengu wa tekinolojia ya wanyama wa kufugwa? Kuhusu haya na mengine mengi,,wasiliana nasi kupitia namba 0652312236/0714414144 tuzungumze..

Karibuni sana mjipatie buti nzuri na imara kwa bei nafuu sana..Zinafaa sana kwa shughuli za shamba na wakati wa mvua..Tu...
17/03/2024

Karibuni sana mjipatie buti nzuri na imara kwa bei nafuu sana..Zinafaa sana kwa shughuli za shamba na wakati wa mvua..Tupigie kwa namba 0652312236/0714414144

Unapofikiria kuhusu afya Bora ya wanyama wako,,basi suluhisho ni wananchi Vet Center. Karibu tukuhudumie. Tunapatikana k...
15/03/2024

Unapofikiria kuhusu afya Bora ya wanyama wako,,basi suluhisho ni wananchi Vet Center. Karibu tukuhudumie. Tunapatikana kigamboni kwa Msomali au tupigie kwa namba 0652312236/0714414144. Karibuni sana..

Address

Kigamboni
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 07:30 - 20:00
Tuesday 07:30 - 20:00
Wednesday 08:00 - 20:00
Thursday 08:00 - 20:00
Friday 07:30 - 20:00
Saturday 07:30 - 20:00
Sunday 11:00 - 17:00

Telephone

+255652312236

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wananchi Vet Center posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category