18/09/2021
Karibu Sana Mdau wa mbwa katika page yetu!!
Kutokana na kuwa na kazi nyingi kwenye majumba ya wateja, tumeshindwa kupost Mambo mengi ambayo yangewasaidia kuongeza uelewa dhidi ya mbwa wetu tunaowafuga. Hivyo tunapenda kukaribisha kwa kupiga simu K**a utakuwa na maswali yanayokutatiza juu ya mbwa.
WhatsApp & call; +255716272426