Dr. Mifugo

Dr. Mifugo Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dr. Mifugo, Veterinarian, Tegega Nyaishozi, Bagamoyo Road, Dar es Salaam.
(2)

Karibu sana tunauza
VIFAA VYA UFUGAJI KUKU AINA ZOTE
bei nafuu na rafiki
�Cage za Layers na broiler
� Incubator za solar na umeme
� Taa za joto
� mashine za chakula cha mifugo
� Pillet Mashine

Pamoja na vifaa vingine vingi

Hujambo mfugaji mwenzangu! Karibu kwenye mwongozo huu utakaobadili kabisa mwelekeo wa mradi wako. Najua umepitia nyakati...
19/07/2026

Hujambo mfugaji mwenzangu!

Karibu kwenye mwongozo huu utakaobadili kabisa mwelekeo wa mradi wako.
Najua umepitia nyakati ngumu:
magonjwa yasiyoeleweka,
gharama za chakula zinazopanda kila kukicha,
na ule usiku wa manane unaokaa ukiwaza: "Hivi hawa kuku nitawauza wapi?"

Nipo hapa kukuambia:
Machozi yako hayakuwa ya bure.
Huu ni wakati wa kugeuza maumivu kuwa faida ya uhakika.

Hiki hapa ni kitabu kamili cha kurasa 10 (Sura 10) kilichoandaliwa kimkakati kwa ajili yako.

Kitabu ni Tsh 30,000

Ila ukilipa kwa dada PRE ODER bei ni Tsh 20,000

Kitabu kitakuwa Tayari Tarehe 30/07/2026

Mawasiliano:
0766380193

19/07/2026

🐔 DARASA LA UFUGAJI WA KUKU KIBIASHARA 🐣🐔

Je, unataka kuanza au kuboresha ufugaji wa kuku kwa faida?
Karibu kwenye darasa maalum la mtandaoni (ONLINE) lenye mafunzo ya vitendo na kibiashara.

📚 NJIA YA MAFUNZO:
✅ Google Meet (darasa la moja kwa moja)
✅ WhatsApp Chat (maswali, majadiliano na mrejesho)

📅 TAREHE YA KUANZA: 01/08/2026
⏰ MUDA: Saa 3:00 kamili usiku hadi saa 4:00 kamili usiku
🗓️ MUDA WA MAFUNZO: Siku 10 tu

💰 ADA YA MAFUNZO:
👉 Tsh 100,000/= (Laki moja tu)

💳 NAMBA YA MALIPO (M-Pesa/TigoPesa/AirtelMoney):
📞 0766 380 193
👤 Jina: Christowelu Zephania

📌 BAADA YA MALIPO:
✔️ Tuma ujumbe (message) wa uthibitisho wa malipo kupitia WhatsApp
✔️ Tuma kwenda namba: 0766 380 193
✔️ Utahunganishwa kwenye group la darasa mara moja

📘 YATAJIRIWA KATIKA DARASA:
• Ufungaji wa banda la kuku kitaalamu
• Aina bora za kuku wa kibiashara
• Lishe sahihi na usimamizi wa gharama
• Ratiba ya chanjo na magonjwa
• Mbinu za kuongeza uzalishaji
• Hesabu za faida na hasara
• Masoko ya mayai na nyama ya kuku

🎯 Darasa linafaa kwa:
✔️ Wanaoanza ufugaji
✔️ Wafugaji wanaotaka kukuza biashara

⚠️ NAFASI NI CHACHE — JIUNGE MAPEMA ⚠️

📲 Mawasiliano: 0766 380 193

17/07/2026

#0766380193
#0766380193

15/07/2026
09/07/2026

Address

Tegega Nyaishozi, Bagamoyo Road
Dar Es Salaam
14122

Opening Hours

Monday 09:00 - 19:00
Tuesday 09:00 - 19:00
Wednesday 09:00 - 19:00
Thursday 09:00 - 19:00
Friday 09:00 - 18:00
Sunday 09:00 - 19:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr. Mifugo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category