Winners24 Alive Group

Winners24 Alive Group Winners 24 Alive, Tunatoa Huduma Zifuatazo:
+Tunauza mbegu bora za sungura wafugwao.
+Tunatoa ushauri na Kusimamia miradi
+Tunafanya uchunguzi na kutibu

Maswali yeyote kuhusu sungura bonyeza hapa
01/04/2021

Maswali yeyote kuhusu sungura bonyeza hapa

...
12/04/2019

...

Nani Mwingine aliaminishwa K**a mimi kuwa namna nzuri ya kumbeba Sungura ni kwa kumshika masikio ?😁
20/03/2019

Nani Mwingine aliaminishwa K**a mimi kuwa namna nzuri ya kumbeba Sungura ni kwa kumshika masikio ?😁

 wanatoa mafunzo ya ufugaji wa sungura,mbwa,ndege wote wafugwao,Mbuzi,Ng'ombe,Farasi,Kobe, Samaki.nk tufollow sasa kweny...
29/01/2019

wanatoa mafunzo ya ufugaji wa sungura,mbwa,ndege wote wafugwao,Mbuzi,Ng'ombe,Farasi,Kobe, Samaki.nk tufollow sasa kwenye page yetu kupata mafunzo Kila siku.

Kwa undani wa habari hii soma gazeti la Mtanzania la Tarehe 26/1/2019
26/01/2019

Kwa undani wa habari hii soma gazeti la Mtanzania la Tarehe 26/1/2019

Unaitaji mwongozo wa vitendo juu ya ufugaji wa sungura?Tupigie   0767763959
21/01/2019

Unaitaji mwongozo wa vitendo juu ya ufugaji wa sungura?
Tupigie 0767763959

Vitu gani vimekushangaza au unaona haviko sawa kwenye hii picha?
19/01/2019

Vitu gani vimekushangaza au unaona haviko sawa kwenye hii picha?

You best friend doesn't have to be  human.
07/01/2019

You best friend doesn't have to be human.

Hii Ndiyo Njia Sahihi Ya kumbeba Sungura.
05/01/2019

Hii Ndiyo Njia Sahihi Ya kumbeba Sungura.

Husimfuge Sungura k**a huwezi kumtunza na kumhudumia.
03/01/2019

Husimfuge Sungura k**a huwezi kumtunza na kumhudumia.

Dalili za sungura aliyevimbiwa1.Tumbo huvimba kupita kawaida2.Sungura hupoteza hamu ya kula kwa mda.3.Hupenda kukaa amel...
02/01/2019

Dalili za sungura aliyevimbiwa

1.Tumbo huvimba kupita kawaida

2.Sungura hupoteza hamu ya kula kwa mda.

3.Hupenda kukaa amelala mda mwingi.

4. Asilimia zaidi ya 80 ya vifo vya ghafla kwenye sungura wasio na dalili za ugonjwa.

5.K**a kwenye banda kuna sungura zaidi ya mmoja basi aliyevimbiwa hujitenga na wenzake

6.Utumbo na tumbo la sungura aliyekufa kwa kuvimbiwa ,hutoa hewa isiyo ya kawaida.

7.Sehemu ya juu ya kupitisha hewa huwa na mapovu yasiyo ya kawaida.

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 18:00
Wednesday 08:00 - 18:00
Thursday 08:00 - 18:00
Friday 08:00 - 18:00
Saturday 08:00 - 18:00
Sunday 08:00 - 18:00

Telephone

+255767763959

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Winners24 Alive Group posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Winners24 Alive Group:

Share