AM Animal Feeds Company Limited

AM Animal Feeds Company Limited koudijs Poultry Feeds Concentrates
koudijs Pig Feeds Concentrates
koudijs Complete Fish Feed

11/05/2026

Semina ya Ufugaji kibiashara ni Wiki Hii Jumamosi,

K**a bado huhajiandikisha

Karibu Ujiandikishe,

Nafasi ni chache πŸ₯©πŸ–πŸ₯šπŸ“

TANGAZO LA MAFUNZO YA UFUGAJI WA KUKU NA NGURUWE KIBIASHARA (UKANDA WA PWANI NA DAR ES SALAAM KUTOKA KOUDIJS ANIMAL NUTR...
04/05/2026

TANGAZO LA MAFUNZO YA UFUGAJI WA KUKU NA NGURUWE KIBIASHARA (UKANDA WA PWANI NA DAR ES SALAAM KUTOKA KOUDIJS ANIMAL NUTRITION

Je, unataka kufanya ufugaji wenye tija na faida kubwa? Karibu kwenye semina kabambe itakayokubadilishia mtazamo!

🐣 MADA KUU:
1. Ufugaji wa Kuku Kibiashara: (Namna bora ya kujitengenezea chakula kwa gharama nafuu).
2. Ufugaji wa Nguruwe Kibiashara: (Usimamizi wa banda, lishe bora, Uchaguzi wa Mbegu bora).

πŸ“ MAHALI: PSSSF COMMERCIAL COMPLEX
πŸ“… TAREHE: 16-05-2026
⏰ MUDA: Saa 8:30 Asubuh
πŸ’° KIINGILIO: HUKUNA KIINGILIO NI BURE

⚠️ ZINGATIA: Nafasi ni chache sana! Jiandikishe mapema ili kuhifadhi nafasi yako.

πŸ“ž KUJIANDIKISHA/USAJILI:
Piga/WhatsApp: 0684798748, 0717999377

Fuga Kidijitali, Fuga Kibiashara

Am Animal Feeds inakutakia heri ya sikukuu ya wafanyakazi duniani. Jiunge na familia ya koudijs kwa kupata kilicho bora ...
01/05/2026

Am Animal Feeds inakutakia heri ya sikukuu ya wafanyakazi duniani. Jiunge na familia ya koudijs kwa kupata kilicho bora kwa mifugo yako.

Habari MfugajiTunakutakia heri ya Sikukuu ya Pasaka, wewe pamoja na familia yako.Endelea kutumia bidhaa zetu kwa matokeo...
06/04/2026

Habari Mfugaji
Tunakutakia heri ya Sikukuu ya Pasaka, wewe pamoja na familia yako.
Endelea kutumia bidhaa zetu kwa matokeo bora zaidi katika Ufugaji wako.

πŸ– ```Sema Kwaheri kwa stress pale unapowaachisha vibwagala Kunyonya``` πŸ–Anza kuwalisha vibwagala wako creep feed ya *KOU...
26/01/2026

πŸ– ```Sema Kwaheri kwa stress pale unapowaachisha vibwagala Kunyonya``` πŸ–

Anza kuwalisha vibwagala wako creep feed ya *KOUDIJS* kuanzia *Siku ya 7 hadi 35* na uendelee nayo baada ya kuwachisha kunyonya huku ukichanganya na starter ili kuepuka kuwarudisha nyuma !

Hii Boresha afya ya utumbo, hudumisha ukuaji thabiti, na vibwagala hua wenye nguvu na wenye afya kwa urahisi.

Ulishaji wa mapema wa Koudijs Creep feed = Kuachisha kunyonya vizuri = Faida kubwa!

Ukulima Mahiri ni kutambua changamoto za shambani na kuzitatua ili ukuze Nguruwe Wenye Afya na upate faida zaidi.


Wasiliana nasi kupitia namba_ πŸ“²β˜ŽπŸ“
- ( _UBUNGO MAWASILIANO_ ) 0782557663 / 0677136019
- ( _PICHA YA NDEGE_ ) 0758454367
- ( _MBEZI, KIMARA_ )0677136022
- ( _KONGOWE, MBAGALA,KIGAMBONI_ ) 0754098945

*Kupata bidhaa za koudijs Karibuni sanaa* .

🚨"KOUDJIS ANIMAL NUTRITION"! 🚨Jifunze namna ya kupunguza gharama za ufugaji wa nguruwe na kuku bila kuathiri ubora wa ch...
23/01/2026

🚨"KOUDJIS ANIMAL NUTRITION"! 🚨

Jifunze namna ya kupunguza gharama za ufugaji wa nguruwe na kuku bila kuathiri ubora wa chakula. Wasiliana nasi ili kuboresha lishe ya mifugo yako na kuongeza faida! 😊
"Suluhisho la kudumu shambani mwako"πŸ†πŸ₯‡

"

🚨🚨Je wajua Chakula cha bei rahisi mara nyingi ndo kosa lenye gharama kubwa mfugaji analoweza fanya!?- Katika ufugaji wa ...
21/01/2026

🚨🚨Je wajua Chakula cha bei rahisi mara nyingi ndo kosa lenye gharama kubwa mfugaji analoweza fanya!?
- Katika ufugaji wa nguruwe, kishawishi cha kupunguza gharama za chakula huwa kipo hasa wakati bei ya nyama inapokua sio nzuri sokoni.
- Lakini wakulima wenye uzoefu wanajua ukweli mgumu: Chakula cha bei nafuu zaidi mara nyingi hugharimu zaidi katika ufugaji.
πŸ’‘Chakula cha bei rahisi mara nyingi humaanisha chakula kisicho ufanisi.
πŸ’‘Chakula cha bei nafuu mara nyingi hua nafuu sabab hakina:
- Uwezo wa chakula kumengenywa vizuri.
- Usawa wa Amino acid.
- Viwango sahihi vya nishati ya wanga.
- Utoshelevu wa Vitamini na madini.
Nguruwe wanaweza kula mgawo huu, lakini hawaubadilishi kwa ufanisi.

Ubadilishaji duni unamaanisha chakula zaidi kinahitajika kutengeneza kwa kilo ya nyama, muda mrefu wa ufugaji, na gharama kubwa kwa jumla.

πŸ‘¨β€πŸ«Jifunze namna ya kupunguza gharama za ufugaji wa nguruwe bila kuathiri ubora. Wasiliana nasi ili kuboresha lishe ya nguruwe wako na kuongeza faida! 😊



Concentrate bora kwa kuku wako! 🌟Rahisi kutumia, virutubisho vingi, ukuaji maradufu! πŸ“πŸ’ͺKuku wanakua kwa usawa,haraka na ...
16/01/2026

Concentrate bora kwa kuku wako! 🌟
Rahisi kutumia, virutubisho vingi, ukuaji maradufu! πŸ“πŸ’ͺ
Kuku wanakua kwa usawa,haraka na nyama tamu na yenye ubora πŸ˜‹

Pata matokeo bora na Concentrate yetu! πŸ‘Œ

Wasiliana nasi kupitia namba_ πŸ“²β˜ŽπŸ“
- ( _UBUNGO MAWASILIANO_ ) 0782557663 / 0677136019
- ( _PICHA YA NDEGE_ ) 0758454367
- ( _MBEZI, KIMARA_ )0677136022
- ( _KONGOWE, MBAGALA,KIGAMBONI_ ) 0754098945

*Kupata bidhaa za koudijs Karibuni sanaa* .

Je, Wajua? πŸ–Chuchu zilizokua vizuri ni muhimu kwa upatikanaji rahisi wa maziwa kwa watoto wa nguruwe na husababisha uzal...
17/12/2025

Je, Wajua? πŸ–
Chuchu zilizokua vizuri ni muhimu kwa upatikanaji rahisi wa maziwa kwa watoto wa nguruwe na husababisha uzalishaji wa maziwa wa kiwango cha juu.
Ukuaji wa chuchu hutokea wakati wa ukuaji wa nguruwe, ujauzito, na kipindi wanaponyonyesha. Hivyo ukuaji wa chuchu husaidia kuimarisha afya na ukuaji wa watoto wa nguruwe. 🐷
Ni muhimu kutumia bidhaa ya koudijs ili kuimarisha ukuaji wa chuchu;
- *kipindi cha ukuaji*
- *kipindi cha ujauzito*
- *kipindi wananyonyesha*

*Pata bidhaa za Koudijs katika maduka ya chakula kwa :*
πŸ–πŸ“πŸ£πŸ₯🐟
*NGURUWE | LAYERS | BROILERS | SAMAKI*

PRO ROJOTIC Matumizi ya Kemikali Antibiotic Growth Promoter (AGP) husababisha matatizo mengi katika afya ya binadamu, wa...
05/12/2025

PRO ROJOTIC
Matumizi ya Kemikali Antibiotic Growth Promoter (AGP) husababisha matatizo mengi katika afya ya binadamu, wanyama, na mazingira.

Probiotic ni vijidudu vyenye faida kwa wanyama. Utafiti mwingi umeonyesha kutumia probiotic Hukuza ukuaji wa wanyama,
kuongeza afya ya wanyama, kiuchumi zaidi, salama zaidi kwa binadamu, wanyama na mazingira

Composition:
1. Vidonge vya Bacillus
2. Bacillus Licheniformus
3. Bacillus Pumilus
4. Bacillus Megaterium

FAIDA :
1. Huongeza kasi ya umengenyaji wa chakula.
2. Hupunguza Amonia na taka nyingine zenye sumu.
3. Kupunguza cholesterol
4. Kuongeza mwitikio wa kinga ya mwili
5. Kuongeza Tija ya Wanyama kwa njia salama na endelevu

KANUNI YA MATUMIZI:
1. Weka kidonge 1 ndani ya lita 20 za maji safi hadi lita 40 za maji
2, Wape wanyama maji ya kunywa siku 1-10 mfululizo. Tumia
3.Pia unaweza Nyunyizia kwenye maji machafu na kinyesi cha wanyama (mbolea) muda wa siku 3-4 baada ya, na mkusanyiko wa chini (lita 40)

TAZAMA:
Usitumie antibiotiki pamoja na Pro Rojotic

Box 1 lina Vidonge 12

Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi

Address

-6. 7887121, 39. 2149258
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 18:00
Wednesday 08:00 - 18:00
Thursday 08:00 - 18:00
Friday 08:00 - 18:00
Saturday 08:00 - 18:00

Telephone

+255759659761

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AM Animal Feeds Company Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to AM Animal Feeds Company Limited:

Share

Category