FarmersMarket_Tz

FarmersMarket_Tz PLATFORM TO ADVERTISE, BUY & SELL FARMING PRODUCTS......

JUKWAA LA KUTANGAZA, KUUZA NA KUNUNUA BIDHAA ZA KILIMO NA MIFUGO

Platform to Advertise, Buy and Sell Agricultural Products - Jukwaa la kutangaza, Kuuza na Kununua bidhaa za Mifugo na Kilimo

Bidhaa: Butternut Muuzaji: Mr Godfrey Mahali: Gongolamboto, Dar es Salaam   Bei: Tsh 2000 kwa  1   piga 0719222998 au 07...
01/10/2022

Bidhaa: Butternut Muuzaji: Mr Godfrey Mahali: Gongolamboto, Dar es Salaam Bei: Tsh 2000 kwa 1 piga 0719222998 au 0745212141 kuunganishwa

butternut kwa bei nzuri, tembelea www.farmersmarket.co.tz upate bei nzuri na ujionee bidhaa mbalimbali. Pia unakaribishwa kutangaza nasi

TOPVIT 500GM
09/11/2019

TOPVIT 500GM

Share this:

VIGOLYTE 500GM
09/11/2019

VIGOLYTE 500GM

Share this:

PIPERAZ 100GM
09/11/2019

PIPERAZ 100GM

Share this:

PIPERAZ 30GM
09/11/2019

PIPERAZ 30GM

Share this:

POULTRY HEALTH AND DISEASES : If chickens are healthy it will keep disease away. This will also be more eggs and more me...
15/08/2019

POULTRY HEALTH AND DISEASES : If chickens are healthy it will keep disease away. This will also be more eggs and more meat. It is important to watch your chickens every day to check on their health. Watching carefully and keeping them healthy means you can prevent and control diseases. It is important to keep unhealthy birds away from the rest of the healthy chickens. [ 477 more words ]

POULTRY HEALTH AND DISEASES : If chickens are healthy it will keep disease away. This will also be more eggs and more meat. It is important to watch your ...

RABBIT FARMING A PROFITABLE BUSINESS : Rabbit farming is not a new enterprise in East Africa despite misconception by ma...
14/08/2019

RABBIT FARMING A PROFITABLE BUSINESS : Rabbit farming is not a new enterprise in East Africa despite misconception by many as a non-income generating activity. However, in recent years many farmers have started to realize its potentiality as a profitable investment. ADVANTAGES OF RABBIT FARMING Their feed requirement is low, especially with regard to demand for grain. Their housing and disease control managements are also low yet their meat is highly nutritious and healthier source of protein when compared with other sources of meat. [ 927 more words ]

RABBIT FARMING A PROFITABLE BUSINESS : Rabbit farming is not a new enterprise in East Africa despite misconception by many as a non-income generating ....

UTAYARISHAJI WA MTINDI NYUMBANI : Wafugaji wengi wamekuwa wakiuliza mbinu za kutayarisha mtindi nyumbani. Hii inatokana ...
07/08/2019

UTAYARISHAJI WA MTINDI NYUMBANI : Wafugaji wengi wamekuwa wakiuliza mbinu za kutayarisha mtindi nyumbani. Hii inatokana na ukweli kwamba wakati wanapata ziada ya maziwa wanayozalisha na soko la maziwa kupungua hufikiria namna nyingine ya kuokoa ziada hiyo isiharibike kwa kutengeneza bidhaa nyingine. Mtindi unaotayarishwa nyumbani kwa kawaida huwa mtamu na huweza kutumika muda wowote wa mchana k**a vile nyongeza nyepesi ya kifungua kinywa au kutumika k**a kinywaji cha kuboresha afya zetu kwa kuchanganywa na asali au matunda na kuweza kunywewa nyakati za jioni. [ 708 more words ]

UTAYARISHAJI WA MTINDI NYUMBANI : Wafugaji wengi wamekuwa wakiuliza mbinu za kutayarisha mtindi nyumbani. Hii inatokana na ukweli kwamba wakati wanapata

FAIDA KUMI ZA ULAJI WA MAYAI MWILINI : 1. MAYAI HUMSAIDIA MTUMIAJI KUBORESHA UFANISI KIUTENDAJI: Humsaidia mtumiaji kuhi...
06/08/2019

FAIDA KUMI ZA ULAJI WA MAYAI MWILINI : 1. MAYAI HUMSAIDIA MTUMIAJI KUBORESHA UFANISI KIUTENDAJI: Humsaidia mtumiaji kuhisi mwenye shibe kwa kipindi kirefu. Hii inatokana na ukweli kwamba yai moja kubwa lina uwezo wa kukupatia protini yenye ubora mkubwa na virutubisho mbalimbal muhimu vinavyohitajika mwilini isipokuwa vitamin C. Ndiyo maana inashauriwa kujumuisha matunda au juisi ya machungwa yai, na mkate uliotayarishwa kwa unga wa ata hukupatia kifungua kinywa (breakfast) kilichokamilika humwezesha mtumiaji kuwa katika hali nzuri kiafya na hivyo kuweza kukabiliana vilivyo na changamoto mbalimbali za maisha. [ 955 more words ]

FAIDA KUMI ZA ULAJI WA MAYAI MWILINI : 1. MAYAI HUMSAIDIA MTUMIAJI KUBORESHA UFANISI KIUTENDAJI: Humsaidia mtumiaji kuhisi mwenye shibe kwa kipindi kirefu.

UZALISHAJI WA MAZAO KWENYE NYUMBA YA WAVU YAANI GREENHOUSE : Kilimo cha nyumba ya wavu (greenhouse) kinaendelea kupata u...
05/08/2019

UZALISHAJI WA MAZAO KWENYE NYUMBA YA WAVU YAANI GREENHOUSE : Kilimo cha nyumba ya wavu (greenhouse) kinaendelea kupata umaarufu nchini na ujenzi huu ambao hutumia plastiki au wavu umekuwa chaguo la baadhi ya wakulima kwa sasa nchini. Hivi sasa kumekuwa na uhamasishaji mkubwa wa kilimo hiki kwa vile wakulima wengi wamekuwa na shauku ya kupata faida kubwa lakini kwa bahati mbaya sana hawana uzoefu wa kutosha wa teknolojia hii. [ 764 more words ]

UZALISHAJI WA MAZAO KWENYE NYUMBA YA WAVU YAANI GREENHOUSE : Kilimo cha nyumba ya wavu (greenhouse) kinaendelea kupata umaarufu nchini na ujenzi huu ambao

JE, UNAWEKA VYEMA KUMBUKUMBU ZA SHAMBA LAKO ? : Uwekaji wa kumbukumbu utakuwezesha kutambua ufanisi wa shughuli mbalimba...
31/07/2019

JE, UNAWEKA VYEMA KUMBUKUMBU ZA SHAMBA LAKO ? : Uwekaji wa kumbukumbu utakuwezesha kutambua ufanisi wa shughuli mbalimbali zinazofanyika shambani kwako. Mathalani, kuweza kutambua faida kiasi gani imepatikana kutokana na uzalishaji wa maziwa, au kutokana na uzalishaji wa mahindi? Uwekezaji upi una tija au upi husababisha hasara?, Ni dhahiri unahitaji kujua taarifa fulani iwapo utahitaji kubadili zao unalolizalisha au pale unapoamua kununua au kutonunua ng’ombe mwingine. [ 727 more words ]

JE, UNAWEKA VYEMA KUMBUKUMBU ZA SHAMBA LAKO? : Uwekaji wa kumbukumbu utakuwezesha kutambua ufanisi wa shughuli mbalimbali zinazofanyika shambani kwako.

KILIMO CHA MATIKITI MAJI : Wakulima wengi wametuomba tuwaandikie makala kuhusu uzalishaji wa matikiti maji. Yatupasa kuj...
31/07/2019

KILIMO CHA MATIKITI MAJI : Wakulima wengi wametuomba tuwaandikie makala kuhusu uzalishaji wa matikiti maji. Yatupasa kujiuliza ni kiti gani muhimu kuzingatia iwapo unataka kuzalisha matikiti maji yenye ubora unaokubalika? • Jambo la kwanza na muhimu ni kutafuta shamba katika eneo muafaka kwa kilimo hiki: Mkulima anashauriwa kulima matikiti maji katika ardhi yenye joto na yenye kutitirisha (well drained) maji vizuri. [ 913 more words ]

KILIMO CHA MATIKITI MAJI : Wakulima wengi wametuomba tuwaandikie makala kuhusu uzalishaji wa matikiti maji. Yatupasa kujiuliza ni kiti gani muhimu ...

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FarmersMarket_Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to FarmersMarket_Tz:

Share