Mbena Farm

Mbena Farm Tunauza Vifaa vya Ufugaji na Kilimo
Incubators
Cages
Feeding Mixer Greinder
Pellet machine n.k

06/11/2025
10/10/2025

🇿🇲 🇰🇪
+255787134746
+255746134745

01/09/2025

Je unaitaji kufugia kuku wengi eneo dogo
Tumia vimba naarum kwa ajili ya kuku wa mayai
Sasa usijiulize unapata wapi tine poulet layers cage niwauzaji na wasambazaji wa izobidhaa
Tunapatikana ubungo liver side DAR es SALAAM
+255787134746☎️☎️☎️
+255746134745
🙏🙏🙏🙏😁
🇬🇳🇳🇬🇰🇪🇨🇩🇧🇮🇷🇼

Haya unajiuliza unapata wapi Cage za kufugia kuku wako wa mayai jibu  ni kwa M BENA FARM kwa kushiliana na POULET LAYERS...
31/07/2025

Haya unajiuliza unapata wapi Cage za kufugia kuku wako wa mayai jibu ni kwa M BENA FARM kwa kushiliana na POULET LAYERS CAGE tunakuletea cage zenye ubora na za kisasa kabisa zitakazofanya ufuge kuku zako kwa kiwango kizuri
Na kuwasaidia kuku zako kuweza kutaga kwa ufanisi makubwa
Sasa basi zipo cage za aina tofauti na size zake

1.cage ya A type hii inasifa Moja wapo ni kutoka kinyesi kwa kwa uraisi kwasababu inauvungu unaomsaidia mtu kuingia chini ya Cage kutoa uchafu

2.zinapangika ndani ya Banda kwa mpangilio
Unaoutaka wewe Ili kuwe namuonekano unaoridhisha ndani ya Banda lako

3.unakuwa na nafasi ndogo na unafuga kuku wengi sana

SISI TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM UBUNGO LIVER SIDE BARBARA YA KUELEKEA KWA MZEE WA UPAKO MAWASILIANO YETU
+255787134746☎️☎️☎️☎️
+255746134745 Whatsapp

KWA MITANDAO YA KIJAMII TUPO
Instagram account @ m bena farm
Facebook account bena farm
Ticktock account @ m bena farm
KARIBU TUKUUDUMIE 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@

Ufugaji kutumia Cage hauitaji nafasi kubwa sana  kigogo tu  unapataa kuku wengi tumia Cage Ili  uweze kufugia kuku wengi...
22/07/2025

Ufugaji kutumia Cage hauitaji nafasi kubwa sana kigogo tu unapataa kuku wengi tumia Cage Ili uweze kufugia kuku wengi kwa seem ndogo karibu mbena farm tutakupatia bidhaa zote zinazousu ufugaji 0787134746

TUPO DAR ES SALAAM UBUNGO LIVER SIDE BARBARA YA KUELEKEA KWA MZEE WA UPAKO

18/07/2025

Kwamaitaji ya kutengeneza chakula Cha samaki kinachoelea tumia hii machine itakusaidia kutengeneza chakula kizuri Cha samaki kinachoelea karibu M BENA FARM KUTOKA POULET LAYERS CAGE CAMPANI

TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM UBUNGO LIVER SIDE BARBARA YA KUELEKEA KWA MZEE WA UPAKO MAWASILIANO

+255787134746
+255746134745

KARIBU TUKUUDUMIE


Address

Ubungo Riverside
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mbena Farm posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mbena Farm:

Share

Category