dranimal_veterinary_petshop

dranimal_veterinary_petshop Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from dranimal_veterinary_petshop, Veterinarian, Mbweni Malindi Beach, Dar es Salaam.

12/08/2026

πŸΆπŸ›οΈ Comfort ya kweli kwa mbwa wako! 🐾❀️

Vitanda vikubwa, soft na comfortable kwa ajili ya mbwa wako πŸ•βœ¨
Mpe sehemu yake maalum ya kupumzika na kulala kwa raha kabisa. 😍

πŸ“¦ Vinapatikana sasa β€” agiza chako leo!

πŸ“© DM/Inbox kwa bei na oda.

Phone:0787116153
Location :mbweni malindi estate

10/08/2026

Welcome DRPET VETERINARY CENTER 🐾
Kila hitaji la pet wako utalipata hapa – Dr Pet Veterinary Center.
Huduma bora, wataalamu wa uhakika, na upendo kwa wanyama wako.”

πŸ“ DR PET N VET
πŸ‘‰ Tunapatikana: Mbweni malindi estate,
Dar es salaam

πŸ“ž Wasiliana nasi: +255787116153
❀️ We care for your animal

10/08/2026

🐢🧳 WOODEN TRAVEL BOX FOR DOGS 🧳🐢
Safari za mbwa wako sasa zinakuwa rahisi na salama! 🀎
✨ Travel Box imara
πŸ• Inafaa kwa mbwa wadogo na wakubwa
πŸ’ͺ yenye nafasi nzuri
πŸš— Inafaa kwa safari na usafirishaji wa mbwa
🌿 Muonekano wa kisasa na wa kuvutia

πŸ“¦ Tunafanya delivery!
Visit DR PET N VET today πŸ’™
πŸ“ Mbweni – Malindi Estate
πŸ“ž 0787 116 153

08/08/2026

🐢🩺 Kazi ya daktari wa mifugo ni zaidi ya kutibuβ€”ni kuhakikisha rafiki yako mwenye miguu minne yuko salama na anajisikia vizuri. ❀️

Leo nilimsaidia mbwa huyu kutoa mfupa uliokuwa umekwama kwenye meno yake, kisha nikamfanyia grooming ili awe msafi, comfortable na mwenye mwonekano mzuri. ✨🐾

Afya njema + usafi = mbwa mwenye furaha! πŸ•β€οΈ



Phone: 0787116153
Location :Mbweni malindi estate

07/08/2026

Kinga huanza mapema! πŸΆπŸ’‰ Leo tunahakikisha puppy hawa wanapata chanjo muhimu kwa afya bora na maisha marefu.

Chanjo ni hatua muhimu ya kuwalinda dhidi ya magonjwa hatari.

Phone:0787116153
Location:Mbweni malindi estate

06/08/2026

🐱 Cat Litter Box Set Inapatikana!
Fanya usafi wa paka wako kwa urahisi zaidi! Cat Litter Box Set hii imekuja na tray pamoja na scoop (kijiko cha kuchotea uchafu) ili kusafisha kwa urahisi, haraka na salama

✨ Sifa za bidhaa:
●Imara na yenye ubora wa kudumu.
●Ina matundu yanayosaidia kutenganisha uchafu kwa urahisi.
●Muundo wa kisasa unaopendeza.

🐾 Visit DR PET N VET today πŸ’™
πŸ“ Mbweni – Malindi Estate
πŸ“ž 0787 116 153

πŸ“¦ Tunafanya delivery popote ulipo.

01/08/2026

🐱 Josera Culinesse – Premium Food for Adult Cats πŸ’œπŸ’›
Tumewaletea Josera Culinesse, chakula bora cha paka wakubwa kilichotengenezwa kwa viambato vya ubora wa juu kutoka Ujerumani.
βœ… Ladha tamu yenye salmoni bora kwa paka wanaochagua chakula.
βœ… Husaidia kuwa na ngozi yenye afya na manyoya yanayong'aa.
βœ… Hutoa lishe kamili kwa afya na nguvu za kila siku.
βœ… Ni rahisi kumeng'enywa na kinafaa kwa matumizi ya kila siku.
βœ… Hakina viambato vya ziada visivyo vya lazima k**a rangi au vihifadhi vya bandia.

πŸ“ Visit DR PET N VET today
Mbweni – Malindi Estate
πŸ“ž 0787 116 153

Give your cat the premium nutrition it deserves with Josera Culinesse! πŸΎπŸ’™

Address

Mbweni Malindi Beach
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when dranimal_veterinary_petshop posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to dranimal_veterinary_petshop:

Shortcuts

Share

Category