Sms za mapenzi

Sms za mapenzi Mfurahishe umpendae kwa kumpa maneno matamu

Tumeanzisha group la sms za mapenzi njoo WhatsApp number 0628543030 husi koment namba yako
02/01/2023

Tumeanzisha group la sms za mapenzi njoo WhatsApp number 0628543030 husi koment namba yako

19/10/2022
19/10/2022
11/09/2022

Tunataka kuanzisha group je tuanzishe WhatsApp au telegram??

13/08/2020

WhatsApp Group Invite

13/01/2020

Changes clother or changes food,
But not changes girls/boys,
Because HIV/AIDS is dangerous
So take care my dear course
I
L
O
V
E you

Penzi langu maalufu nakupa unienzie tena nipenzi nadhifu hilo lazima ujue wala si penzi la khofu wasi wasi likutie ni pe...
21/05/2017

Penzi langu maalufu nakupa unienzie tena nipenzi nadhifu hilo lazima ujue wala si penzi la khofu wasi wasi likutie ni penzi la insaaf nampa nimpendae k**a kukupenda ni mauti kwako nitayali kufa k**a kukupenda maradhi dawa kwako natafuta k**a kupenda bahati mwenzako naitafuta naomba unipe nafasi mwenzako nataabika na wala sitampa mwingine anayefanana na wewe
++++++++++++++++++++++++++

Salam ni (1)Nuru humfariji aliye na huzuni (2)ni jahazi huvusha aliye ng'ambo(3)Pili Nuru huangaza gizani wewe ni lulu yangu nakupenda sana
++++++++++++++++++++++++++

Salam ni MOYO katika imani salam UHAI katika upendo salam ni chakula cha NAFSI salam ni MSAMAHA wakudumu milele salam ni KINGA ya maradhi salam huondosha UADUI hakika salam ni utakaso wa nafsi nawe nakupa wewe niliyekutunuku

ASUBUI NJEMA
19/05/2017

ASUBUI NJEMA

Neno nakupenda hutamkwa kwa lugha legeevu yenye kuambatana na hisia nzito zilizojificha mioyoni mwetu hutamkwa kwa kauli...
18/05/2017

Neno nakupenda hutamkwa kwa lugha legeevu yenye kuambatana na hisia nzito zilizojificha mioyoni mwetu hutamkwa kwa kauli bashasha na nakshi na hofu ndani yake raha yake umpate anayekujali k**a mimi ninavyo kujali nakupenda mpenzi
++++++++++++++++++++++++++

Ahsante mpenzi kwa kujua thamani yangu kwako nashukuru umegundua hisia zangu mapema naomba unipe hifadhi ya kudumu ndani ya wigo wa mtima wangu
++++++++++++++++++++++++++

Ewee wangu wa huba mwenye la mahaba hakika nakupenda kwa mwingine sito kwendaaaaaa

Ningumu kumpata mwenye mapenzi ya kweli na zaidi yule atakaye kuwa tayali kukupenda zaidi ivyo nafasi inapopatikana si b...
29/04/2017

Ningumu kumpata mwenye mapenzi ya kweli na zaidi yule atakaye kuwa tayali kukupenda zaidi ivyo nafasi inapopatikana si busara kuichezea tudumishe penzi letu lahazizi wangu
+++++++++++++±++++++++++++

F. I love you from core of my heart my every beat of heart is u n wen it pumb blood from heart n blood goes to brain it again remember u I love u
++++++++++++++++++++++++++

Nakupenda sana p tafadhari usinikasilikie nimekukumbuka naitaji kukuona unipoze moyo wangu njoo mwandani wangu nakusubiria daktari wangu
++++++++++++++++++++++++++

Minsan caring is better than loving minsan tea is better than coffee pero nobody is better than you
++++++++++++++++++++++++++

Penzi linaweza kuelezewa kwa namna nyingi namna moja niijuayo ni kumtumia mapenzi hayo mtu asomae meseji hii
++++++++++++++++++++++++++

I don't to say I miss you though deep inside I do coz I'm afraid you might see thru and know how much fear I have of losing someone like you
++++++++++++++++++++++++++

Umewekwa usiku ili tuweze kuukubali mchana huzuni ili tuikubali fulaha ubaya ili tuukubali uzuri wewe ili niyakubali mapenzi
++++++++++++++++++++++++++

UNAONEKANA KUNG'ARA LEO NILIJUAJE NI KWASABABU UNAONEKANA IVYO KILASIKU
++++++++++++++++++++++++++

You greeted me hi didn't teply you gave me a sweet smile I responded with a sigh you showed me your love you received a shrug but when you bid goodbye I began to cry
++++++++++++++++++++++++++

Mapenzi ni nini wale wasiopenda huyaita majukumu wale wanaochezea huita mchezo wale wasiokua nayo huita ndoto na wale wanaoelewa huyaita mwisho wa safari na mimi mwisho wangu niwewe
++++++++++++++++++++++++++
I've been wondering why 're not texting multiple choice a busy b.dilemma c.tired d.thrifty c.want me to miss you
++++++++++++++++++++++++++

K**a mapenzi huweza kukimbiwa kwa kufumba macho yetu tu basi nisingefunika macho kabisa sitaki sekunde ipite bila kukupenda wewe

Address

Dar Es Salaam

Telephone

0652795443

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sms za mapenzi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category