Fancychicken tz

Fancychicken tz Ni faraja kwetu kua na vivutio vya nafsi,akili na macho . Mbali na kuku wa nyama na mayai, hapa tuna kuku wenye kupendezesha mazingira. KUKU WA UREMBO. karibuni

29/05/2026

Brahma

16/05/2026

Frizzle pekin bantam

15/05/2026

Pekin bantam.
Pendezesha bustani yako kwa kuku wa urembo

Hapa ni kijani, nyeusi na nyeupe. Ni kuku waliopendeza na kivutio katika mandhari ya bustan.Hawa ni kuku aina POLISH. Ku...
11/05/2026

Hapa ni kijani, nyeusi na nyeupe. Ni kuku waliopendeza na kivutio katika mandhari ya bustan.

Hawa ni kuku aina POLISH. Kuku wa bustani.

28/04/2026

Chick available

Two Polish and two silky
0652177782

15/04/2026

🐔👍

11/04/2026

My birds, Polish chick

06/04/2026

Kijani kinanoga kwa urembo huu👌

Jina lao gumu 😁, lakini wanapendeza sana.
02/04/2026

Jina lao gumu 😁, lakini wanapendeza sana.

01/04/2026

Vifaranga vya kuku wa urembo aina ya Polish.

Vikiwa na afya njema na haka kamoja kanaonekana kajogoo, kameanza utundu 🙄

Address

Kawe
Dar Es Salaam
11932

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fancychicken tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Fancychicken tz:

Share

Category