Koudijs Animal Nutrition - Tanzania

Koudijs Animal Nutrition - Tanzania Koudijs is an organization with a leading position in the Animal nutrition industry, focused on the

Asanteni sana wafugaji wa Kanda ya Ziwa kwa kutembelea banda la Koudijs katika Maonesho ya Mifugo yaliyofanyika Usanda, ...
31/05/2026

Asanteni sana wafugaji wa Kanda ya Ziwa kwa kutembelea banda la Koudijs katika Maonesho ya Mifugo yaliyofanyika Usanda, Shinyanga.
Furaha yetu ni kuona mnaendelea kuchukua hatua za kuboresha ufugaji wenu kupitia lishe bora na ushauri wa kitaalamu. Ushiriki wenu umetupa hamasa ya kuendelea kuwaletea suluhisho bora za kuongeza uzalishaji na faida katika biashara ya mifugo.

Wakazi wa Kanda ya Ziwa, tunapenda kuwakaribisha katika banda letu, kwenye maonesho ya Lakezone Livestock Expo, yanayofa...
30/05/2026

Wakazi wa Kanda ya Ziwa, tunapenda kuwakaribisha katika banda letu, kwenye maonesho ya Lakezone Livestock Expo, yanayofanyika Busanda, Shinyanga.

25/05/2026

Wafugaji wengi wamekuwa wakipata changamoto ya Watoto wa Nguruwe, kuharisha sana.
Fuatilia makala hii, kuweza kufahamu chanzo na namna ya kuzuia changamoto hiyo.

Koudijs tupo na wewe bega kwa bega, ili kuhakikisha unapata matokeo yenye tija katika ufugaji wako.

Endelea kutumia bidhaa kutoka Koudijs, kwa matokeo yenye tija katika Ufugaji wako.



Kwa msaada zaidi, tafadhali wasiliana nasi
0742 905 350

Wakazi wa Mbeya, tunapenda kuwakaribisha katika banda letu, kwenye maonesho ya Mbeya City Expo, yanayofanyika Market Squ...
22/05/2026

Wakazi wa Mbeya, tunapenda kuwakaribisha katika banda letu, kwenye maonesho ya Mbeya City Expo, yanayofanyika Market Square, Uhindini.

TAARIFA KWA WATEJA WETU
21/05/2026

TAARIFA KWA WATEJA WETU

18/05/2026

TAARIFA KWA WATEJA WETU

AHSANTENI DAR ES SALAAM🙏🏽Tunapenda kuwashukuru wafugaji wote mliohudhuria Semina ya Ufugaji wa Kuku na Nguruwe kibiashar...
16/05/2026

AHSANTENI DAR ES SALAAM🙏🏽

Tunapenda kuwashukuru wafugaji wote mliohudhuria Semina ya Ufugaji wa Kuku na Nguruwe kibiashara leo Tarehe 16/05/2026, katika ukumbi wa PSSSF Complex, Dar es Salaam.

Endelea kutumia bidhaa kutoka Koudijs kwa matokeo yenye tija katika ufugaji wako🔥

Ahsanteni sana.

15/05/2026

Heri ya Siku ya Wakulima Duniani

Leo tunawasherehekea mashujaa wa chakula duniani, Wakulima na Wafugaji wetu.

Kwa juhudi zenu, familia nyingi zinaendelea kupata chakula bora na maisha bora.
Sisi k**a Koudijs, tunajivunia kuwa sehemu ya safari yenu ya mafanikio

11/05/2026

Wafugaji wa Dar es Salaam, Pwani, hii ni zamu yenu.

Koudijs Animal Nutrition inakualika kwenye Semina ya Ufugaji wa Nguruwe na Kuku Kibiashara itakayofanyika 16/05/2026 katika Ukumbi wa PSSSF Complex, Sam Nujoma Road, kuanzia saa 2:30 asubuhi.

Kwenye semina hii, Utajifunza namna ya kutengeneza chakula cha mifugo chenye ubora kwa gharama nafuu, uchaguzi wa mbegu bora, na kinga dhidi ya magonjwa.

📞 Jiandikishe mapema kupitia namba:
0717 999 377 | 0684 798 748
au Tembelea duka la Wakala wa Koudijs lililo karibu yako

⚠️ Semina hii ni bure, Jiandikishe mapema, nafasi chache.
NB: Chakula cha mchana na vinywaji vitakuwepo.

Chagua Ubora, Chagua Koudijs.

10/05/2026

HAPPY MOTHERS DAY
Leo tunawatambua na kuwashukuru akina mama wote kwa upendo wao, moyo wa kujitoa katika familia na jamii kwa ujumla.
Koudijs tunaamini kuwa akina mama ni nguvu muhimu katika maendeleo ya ufugaji wenye tija na lishe bora kwa jamii.

Asanteni kwa malezi, juhudi na upendo wenu usiochoka.
Tunawatakia akina mama wote afya njema, furaha na mafanikio tele.

Address

Vingungguti Vawandani, Ilala Municipal Council
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Koudijs Animal Nutrition - Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share