16/04/2016
Neno la leo
Mfanye mbwa ahisi wewe ni rafiki ama ndugu yake hivyo atafanya lolote kukulinda...
Wewe una akili na unajua mbwa sio ndugu yako ila mfanye ahisi hivyo kwa kumwonesha upendo tu.