19/09/2026
🔥 PIKA KWA FURAHA, ISHI KWA AFYA! 🌿
Bantu Smart Coal ni mkaa mbadala wa kisasa unaokupa joto zuri, moshi mdogo na gharama nafuu kwa matumizi ya kila siku.
Tunapatikana kwa aina mbili za vifungashio:
✅ Premium Packaging
1 KG – TZS 2,000
2 KG – TZS 4,000
5 KG – TZS 10,000
✅ Mfuko wa Kawaida
1 KG – TZS 1,000
2 KG – TZS 2,000
5 KG – TZS 5,000
💜 Kwa kulinganisha, Gas:
6 KG – TZS 28,000
15 KG – TZS 63,000
Bantu Smart Coal inafaa kwa majumbani, hoteli, migahawa, taasisi, shule na shughuli za BBQ.
🌱 Rafiki kwa mazingira
🔥 Huwaka kwa muda mrefu
💨 Moshi mdogo
💰 Bei nafuu
🌳 Husaidia kupunguza ukataji wa miti
📦 Delivery inapatikana Zanzibar.
📞 WhatsApp/Call: +255 779 595180
🌐 www.bantutechprojects.com
Chagua Bantu Smart Coal — Nishati Safi, Maisha Bora. 💚