Horse Power Engineering Service (T) LTD

Horse Power Engineering Service (T) LTD Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Horse Power Engineering Service (T) LTD, Dar es Salam.

05/10/2024
Yaani hiyo bado January tu 😂😂😂
05/01/2022

Yaani hiyo bado January tu 😂😂😂

02/09/2020

.soma uelimike
Nimeamua kulizungumzia swala hili kutokana na wateja wengi kulalamika kuwa matumizi ya umeme ni makubwa hayaendani na matumizi ya vitumia umeme vyao.
Wateja wengi niliobahatika kufika kwao wanalalamika matumizi ya umeme ni makubwa na mafundi umeme wamekuja wamebadilisha chuma cha earth lakini bado tatizo lipo palepale.
Leo Nimekutana na mteja ambaye umeme wa elfu kumi (10,000) ambapo ni sawa na unit k**a 28 lakini anadai haumalizi masaa 24 umeisha
Lakini ktk uchunguzi wangu nimegundua wateja wengi hawana uelewa wa vitumia umeme wanavyo vinunua na kuvitumia
-Nikamuuliza mteja wangu ni vitumia umeme gani unavyohisi ndiyo unatumia sana, akaniambia radio, fridge na taa nje kwa usiku, nikamuuliza unajua taa zako ni watt ngapi hajui, fridge hajui ina watt ngapi na radio hajui inawatt ngapi yeye ananunua na kutumia tu,. Ikanibidi niangalie taa, radio na fridge zina watt ngapi
-Nikakuta radio ina 1000watt
Wastani anatumia masaa5 kwa siku
1000w×5=5000w
-Ana fridge yenye watt 150
Wastani anatumia masaa12 kwa siku
150w×12 =1800w
-Ana taa 4 za nje watt75
Zinafanya kazi wastani wa masaa12
4×75w×12 =3600w
Tukajumlisha jumla ya watt anazotumia kwa siku taa za nje, fridge na mziki tu
5000w+1800w +3600w=tukapata 10,400watt kwa siku
Tuka convert watt to kilowatt
Tukapata =10.4 kw/unit
Tukapata jumla ya unit 10.4 kwa matumizi ya taa4 za nje, fridge pamoja na radio tu
Hatujapiga mahesabu ya taa za ndani, kuna pasi, heater ya kuchemshia maji, tv, deck, fan na laptop, lakini mteja analalamika umeme unapotea
Nikamwambia hapa hakuna haja ya kumtafuta mchawi, mchawi ni ww mwenyewe.
Nimemshauri aanze kupunguza matumizi yake kwa kununua taa zenye watt ndogo aina LED, na anapo nunua kitumia umeme chochote awe anaangalia watt zilizopo
Unanunu radio watt2000 ukitumia lisaa limoja umepoteza unit2 kwa matumizi ya radio tu piga mara masaa10 msimbazi umepotea.
Unakutana na mteja anakwambia mm matumizi yangu makubwa ni tv na radio tu
Hivi havili sana umeme
Ukiangalia tv ina watt 100
Radio watt 100
Ukijumlisha zote unapata 200watt
Wastani Masaa 12 vinafanya kazi
Ukipiga 200watt ×12=2400watt ambayo ni sawa na unit 2.4 kwa masaa12 umepoteza
Ukipiga 2.4kw×30 =72.0unit kwa mwezi
Lakini bado unajisifu TV na radio havitumii umeme mwingi
Ushauri wangu tuwe makini wakati wa kununua vitumia umeme vya majumbani kuepuka gharama zisizokuwa na ulazima
Utabadilisha earth load mpaka mtachoka kila fundi anakuja anachukua hela anaondoka ww unabaki na tatizo lako
Kwa maelezo zaidi na ushauri
Piga simu number 0718030774 au 0863890940

27/07/2020
08/07/2020

If you need construction we deal with all buildings and wiring for all kind wiring and we do wiring plan and houses drawings your welcome

Sunrise... looking soo good this morning..
23/06/2020

Sunrise... looking soo good this morning..

Ntyuka
01/06/2020

Ntyuka

Address

Dar Es Salam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Horse Power Engineering Service (T) LTD posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Horse Power Engineering Service (T) LTD:

Share