22/01/2024
TUNAUZA MIFUKO YA KUPANDIA MIMEA (MAUA, MICHE NA MBOGAMBOGA) | WE ARE SELLING GARDEN BAG PLANT | GROWING BAGS
Call/Text/WhatsApp: +255 789 08 19 72
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Mifuko hii ipo ya size tofauti tofauti. Na bei zake, inategemea ukubwa wa mfuko na idadi ambayo mteja atahitaji.
Bei za mifuko mifuko ya kupandia mimea (Price of planting bags/growing bags).
Mifuko 1 - 9
40cm X 40cm Bei: 1,000Tsh
25cm X 25cm Bei: 700Tsh
16cm X 16cm Bei: 250Tsh
10cm X 10cm Bei: 100Tsh
Hii ni mifuko inayotumika kupandia miche au maua kwenye bustani, watengenezaji wa miche wanapenda sana kutumia mifuko hii kuoteshea miche.
Uzuri wa hii mifuko ni kwamba haiwezi kuharibiwa kirahisi na mwanga wa jua, hivyo inadumu muda mrefu.
Mifuko hii ni imara sana haiwez kuharibika kirahisi kwa kupasuka au kupungua uimara wake.
Mifuko hii ya kupandia mimea tunakutumia mkoa wowote ulipo ndani ya Tanzania, pia ata nje ya Tanzania tunatuma mzigo na unafika vizuri.
Office zetu zipo Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 789 08 19 72 (WhatsApp)
+255 737 35 86 89
Email:
[email protected]
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
🇹🇿
JOACK Company LTD | DSM & Bagamoyo