
29/10/2024
Niruhusu nikupe maelezo kidogo kuhusu sisi.
KingsFarm ni shamba la kuku la mjini lililoanzishwa mwaka 2020 hapa Dar es Salaam. Tunafuga kuku wa Kienyeji na Kuroiler na tunajivunia kukuletea nyama ya kuku na mayai safi, yenye ubora wa hali ya juu, moja kwa moja mpaka mlangoni kwako. Tunatoa huduma bora ya utoaji BURE kwa baadhi ya maeneo ya makazi na kuhakikisha unapata bidhaa zako siku hiyohiyo! 🚚🍗
Karibu KingsFarm kwa ladha safi na ya asili!