
02/08/2025
TUNAUZA MBWA WA KISASA WA ULINZI | GERMANY SHEPHERD DOG | BOERBOEL | BELGIUM MALINOIS | ROTTWEILER | PITBULL | ECT
Call/Text/WhatsApp: +255 712 253 102
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo
Mara nyingi mbwa hufugwa kwa malengo nne ambayo ni:-
1. Kunusa (Detection dogs or Sniffer dogs)
2. Kulinda/usalama (Guard dogs)
3. Kuongoza (Guide dogs)
4. Mbwa kipenzi (pets)
Kwa kazi ya ulinzi, mbwa ni kati ya walinzi wazuri na waaminifu, ni mlinzi asiyepokea rushwa wala kula dili na wezi, akiamua kukulinda basi ataulinda kweli.
Mbwa ni kati ya wanyama wenye tabia tofauti tofauti kulingana na asili yao, hivyo ni muhimu kupata taarifa sahihi za mbwa husika ili uweze kujua namna ya kumtunza.
Licha ya kufahamu tu tabia za mbwa, ni muhimu pia kujua taratibu za chanjo na matibabu za mbwa, lengo ni kuhakikisha mbwa wako anakuwa salama dhidi ya magonjwa na hatari nyingine.
Pia kuna swala la mafunzo, mbwa ni kati ya wanyama wenye uelewa hivyo anaweza kufundishika..
Unaweza mfundisha mbwa wako tabia unazo zitaka, mfano unaweza mafundisha ukali, utii, kunusa, sehemu za kujisaidia, nk
Ukiamua kufuga mbwa kwa lengo lolote ni muhimu kuwasiliana na wataalamu ili uweze kupata ushauri sahihi.
Hayo ni machache tu kuhusu mbwa, lakini k**a unahitaji mbwa kwa lengo lolote karibu sana JOACK.
Office zetu zipo - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 712 253 102(WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
[email protected]
🇹🇿
JOACK Company LTD | DSM NA BAGAMOYO