Bandani Kwetu

Bandani Kwetu Striving to breed heathly and quality litters.

Boresha shamba lako kwa kuweka mbegu ya duroc.Watoto wapo wa mwezi 1, 3,5 na 7
16/09/2024

Boresha shamba lako kwa kuweka mbegu ya duroc.
Watoto wapo wa mwezi 1, 3,5 na 7

Uzao wa kwanza 6 wapili 11😍 Mungu katendaLw×DUPI
05/02/2024

Uzao wa kwanza 6 wapili 11😍 Mungu katenda

Lw×DUPI

Napokea order za kitimoto. Weekend mnyama anachinjiwaKilo 9,500Steak bila mafuta 1kg@15,000Porkbelly&ribs 1kg@13,500Free...
01/08/2023

Napokea order za kitimoto.
Weekend mnyama anachinjiwa
Kilo 9,500
Steak bila mafuta 1kg@15,000
Porkbelly&ribs 1kg@13,500

Free delivery kwa maeneo ya kimara,mbezi, Mwenge na barabara ya kuelekea tegeta.
(NOTE: Free delivery inaishia kituoni)

Delivery ni asubuhi mapema

0773120802

01/08/2023
Sweet bell pepper🫑/ Hoho
31/07/2023

Sweet bell pepper🫑/ Hoho

Bata anapenda na bata ni msafi. Ukiona bata ni mchafu basi wamiliki ndio wazembe.Je unafahamu bata muscovy anaweza fikis...
30/07/2023

Bata anapenda na bata ni msafi. Ukiona bata ni mchafu basi wamiliki ndio wazembe.

Je unafahamu bata muscovy anaweza fikisha kilo 5 ndani ya miezi 6 akila mchanganyiko simple wa pumba na soya?

Uliza chochote juu ya ufugaji bora wa bata maji(muscovy).
27/07/2023

Uliza chochote juu ya ufugaji bora wa bata maji(muscovy).

Order za July 30Karibuni0773120802
27/07/2023

Order za July 30
Karibuni
0773120802

Hoho zina mwezi toka zipandikizwe shambani na matunda yameshaanza.
11/07/2023

Hoho zina mwezi toka zipandikizwe shambani na matunda yameshaanza.

Kilimo kibiashara
24/06/2023

Kilimo kibiashara

Address

Makei, Kimara Temboni
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bandani Kwetu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Bandani Kwetu:

Share

Category