Kiromo Zoo

Kiromo Zoo Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kiromo Zoo, Zoo, GW5X+P2 Bagamoyo, Bagamoyo.

Je, umewahi kulisha twiga kwa mikono yako mwenyewe?Tembelea Kiromo Zoo upate fursa ya kuwa karibu na twiga wetu wazuri, ...
23/06/2026

Je, umewahi kulisha twiga kwa mikono yako mwenyewe?

Tembelea Kiromo Zoo upate fursa ya kuwa karibu na twiga wetu wazuri, kuwalisha na kufurahia mwonekano wa karibu usiosahaulika.

Pendo linastahili kusherehekewa kwa namna ya kipekee❤️✨ tunakupa mazingira mazuri na huduma za mapambo ya kimahaba kwa a...
20/06/2026

Pendo linastahili kusherehekewa kwa namna ya kipekee❤️✨

tunakupa mazingira mazuri na huduma za mapambo ya kimahaba kwa ajili ya siku yako maalum. Iwe ni anniversary, birthday, honeymoon au surprise kwa mpendwa wako, tupo tayari kufanya ndoto yako kuwa halisi.

Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi🌹🥂💕

Furaha, farasi na kumbukumbu nzuri. 🐎Karibuni  mahali pa furaha, burudani na kumbukumbu nzuri kwa familia, marafiki na w...
09/06/2026

Furaha, farasi na kumbukumbu nzuri. 🐎

Karibuni mahali pa furaha, burudani na kumbukumbu nzuri kwa familia, marafiki na watoto.

17/02/2026

Karibu kwenye mapokezi yetu✨ Hapa kila mgeni anapokelewa kwa tabasamu, kusikilizwa kwa makini na kupewa maelekezo yote kwa uzoefu bora wa zoo.

14/02/2026

Love is in the air 🦒❤️ On February 14th, our two giraffes found love, a wild Valentine’s story you’ll adore! ✨.
Happy Valentine’s from

11/02/2026

Valentine’s weekend ndo imekaribia, mlete umpendaye zoo. Furahieni siku ya kipekee pamoja kwa kuona wanyama, kulisha twiga, kuogelea, kupanda farasi na kufurahia chakula kitamu. Tengenezeni kumbukumbu zisizo sahaulika.

Address

GW5X+P2 Bagamoyo
Bagamoyo
POBOX22566

Telephone

+255754755079

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kiromo Zoo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kiromo Zoo:

Shortcuts

Share

Category