18/10/2024
I know iam not supposed to say this, but ukiamua kujifanyia SHA registration, kuna pahali panaitwa MEANS TESTING unaulizwa venye unaishi, mali uko nayo...kama wewe ni mjanjez, kindly ishia kibera na hauna tv wala radio, na unakaa room 1.
Wewe enda hapo ju unakaa bedsitter uanze kusema venye unakaa kwa mansion, rooms 5 na uko na shamba acre tisa kwa plot ๐๐๐๐alafu hapo mwisho ukiwekewa 3027 monthly unaanza kulia.
Chanuka na ikikushinda, ulizia number ya SEND US Logistics
For assistance.